Dar es Salaam. Umiliki wa nyumba na ardhi kwa mwanamke mmoja mmoja au kwa mashirikiano ni mkubwa karibu mara mbili na zaidi kwa wasiokuwa na elimu...
Dar es Salaam. Wakati ushirikiano wa kiuchumi kwa wanandoa ukitajwa kuwa chanzo cha maendeleo ya familia, utafiti umeonyesha wanaume takribani watatu kati ya watano huwashirikisha wenza...
Dar es Salaam. Upungufu uliomo katika Sheria ya Ununuzi umetajwa kuwa chanzo cha ubadhirifu wa fedha za umma, ambapo wadau wameshauri kufanya ununuzi kwa fedha tasilimu,...
Dar es Salaam. Takribani wanawake watatu kati ya kumi wenye umri wa miaka 15 hadi 49 wamewahi kupitia unyanyasaji wa namna tofauti wakiwa majumbani mwao, ripoti...
Hili liko kwa wanawake na wanaume, tabia ya ulevi hupunguza uwezo wa mtu wa kufikiria ilivyo sahihi. Unaweza kukuta watu wameketi pamoja na wanaheshimiana, lakini kwa...
Dodoma. Licha ya kupitishwa na Bunge, Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote wa mwaka 2022 umepita katika tanuri la moto kutokana na baadhi ya wabunge...
Hivi unajua sheria ipo wazi kwa anayeiba kitu cha mtu? Adhabu yake endapo atapatikana na hatia ni kifungo kisichopungua au kisichozidi miaka mitano hadi saba jela....
When two people meet, expectations are high, and each will be trying to navigate the relationship the way he or she thinks is best. Firstly, there...
Hapa ni Supermarket ya Carrefour Nairobi, na huyu ni shangazi Maria Sarungi. Shangazi alikimbilia Kenya wakati wa JPM na mpaka leo kajichimbia huko huko. Habari za...
Dar es Salaam. Wanafunzi 148,229 waliopangiwa shule kwa ajili ya kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2022 hawajulikani walipo na hawatafanya mitihani ya upimaji wa kidato cha...