Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema miswada ya sheria za uchaguzi iliyopitishwa hivi karibuni na Bunge itawezesha kuwepo kwa mazingira ya uchaguzi ulio huru...
* Mwabukusi awaponda upinzani, asema ni wabaya kuliko watawala * Maria Sarungi, CHADEMA wararuana kwenye mitandao * Jitihada za kuwapatanisha Mbowe na Lissu zakwama Waandishi Wetu,...
Slaa ametumia mdomo wake, mkono wake na uwezo wake wote kuondoa uhalali wa kisiasa wa CHADEMA katika jamii tangu alipoondoka CHADEMA. Amesema na kuandika mabaya dhidi...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema chama chake hakijanufaika zaidi na maridhiano kama kilivyonufaika Chama cha Mapinduzi (CCM), Serikali...
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) yenye lengo la kuunga mkono uwekezaji...
Aprili 8, 2013 alifariki dunia Waziri Mkuu wa zamani wa United Kingdom (UK), Margaret Thatcher. Vyombo vingi vya habari vilimpamba. Vingine vilimponda tu kuwa alikuwa mtu...
Mnamo Februari 1, 2023, ujumbe wa watu watano kutoka chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM), ulitembelea India ambako ulikutana na viongozi wa chama tawala...
Machi 19 mwaka 2021 Rais Samia aliingia madarakani kuwa Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha Rais John Magufuli. Habari...