Moshi. Ni mwelekeo mpya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), baada ya Askofu Alex Malasusa kuchaguliwa kuliongoza. Suala la kuridhiwa KKKT kuwa na katiba...
Dar es Salaam. Serikali imesema inaandaa nyaraka kwa ajili ya utekelezaji wa makubaliano ya uwekezaji wa bandari kati yake na Dubai. Hatua hiyo inakuja wakati bado...
Dar es Salaam. Kama ni siku za mwizi zimeshafikia arobaini, ndivyo unavyoweza kuelezea kilichozikuta baadhi ya halmashauri nchini, zilizobuni mfumo mpya wa makusanyo kinyume na ule...
Dar es Salaam. Ule mtindo wa viongozi wa umma, kutekeleza majukumu kwa kusubiri maelekezo kutoka juu huenda unakwenda kukoma, baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwapa uhuru...
Dar es Salaam. The Chief Government Spokesperson, Gerson Msigwa yesterday announced that following the ratification of the Inter-governmental Agreement (IGA) between Tanzania and Dubai, both parties...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amempongeza Askofu Alex Malasusa kwa kuchaguliwa kuwa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) akichukua nafasi ya...
Arusha. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekipongeza Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU) na kuahidi kushirikiana nacho katika kuboresha sekta ya elimu nchini na maeneo...
Dar es Salaam. The Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL) expects that by 2027, one million homes will have access to high-speed internet through the Fibre Connecter...
Imeandikwa na; *BY LUGETE MUSSA LUGETE* Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA Ndugu Mheshimiwa Baba Askofu Dr Gervas Nyaisonga amani ya Mungu iwe nawe,rehema na baraka zake zikujaze...
Dar es Salaam. President Samia Suluhu Hassan said yesterday the Brics-Africa partnership needs to focus on unlocking the continent’s potential towards realisation of Agenda 2063, Sustainable...