Dar es Salaam. Sakata la ununuzi wa Kampuni Tanga Cement limechukua sura mpya baada ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Profesa Edward Hoseah, kuipongeza...
Dar es Salaam. Former Inspector General of Police was the overseer of the Police Force bereavement fund for five years between 2017 and July 2022 when he...
Dar es Salaam. Wakati kukiwa na kauli tofauti kuhusu suala la mabasi kusafiri usiku, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imesema hata ukifanyika uamuzi huo, bado...
UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) uliofanywa na CAG umeimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020. Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili; Shirika...
Na Mwandishi Wetu MJADALA wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) unaoendelea baada ya kuwasilishwa kwake bungeni Dodoma wiki hii, umeacha...
Dar es Salaam. A South African fugitive who faked his own death in a prison break that embarrassed authorities has been arrested in Tanzania, police has...
Wallah hii nchi kichomi Paroko. Uamuzi wa kupeleka chura wa Kihansi Marekani, ulifanywa na Wizara ya Nishati na Madini mwaka 2000. Waziri akiwa Abdallah Kigoda. Rais...
Tanzania President Samia Suluhu’s sacking of her predecessor John Magufuli’s longest-serving personal assistant, Ngusa Samike, on 14 March was seen as marking the end of Magufuli’s...
Mwandishi Wetu, Dodoma Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG) zimeibua mjadala mkubwa na mpana nchini tangu zitolewe hadharani siku chache zilizopita. Ripoti hizo...
Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere imeonyesha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ilivilipa vituo vya afya...