Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa onyo la mwisho kwa wateule wake wasioelewana kwenye utekelezaji wa majukumu yao akisema ameachana na mtindo wa kuwapangua badala...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Machi 1, 2023 huku...
Dar es Salaam. Taarifa ya ukaguzi wa Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (Coasco) kwa Jatu Saccos, umeibua mjadala miongoni mwa wanachama baada...
Mtwara. Hatima ya mgogoro wa Kanisa Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kusini Mashariki uliodumu kwa zaidi ya miaka sita, huenda ukafikia mwisho Machi 1...
Dar es Salaam. Wakati maandalizi ya kumpokea mbunge wa zamani wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema anayetarajia kuwasili nchini Machi 1 mwaka huu, akitokea nchini Canada alikokimbilia...
Moshi. Tukio la kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Bishop Alpha Memoria High School Moshi, Walter Swai linazidi kuchukua sura mpya,...
Kilombero. The Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP) is facing a threat caused by ongoing environmental damages in the Kilombero valley in Morogoro region, which is a...
Moshi yatikiswa na mauaji. Hivi ndivyo unavyoweza kuelezea matukio matatu, likiwamo moja la kifo cha mwanafunzi na mawili ya mauaji yakiwamo ya mwanamke kudaiwa kuuawa na...
Dar es Salaam. Hatima ya uhai wa kuwepo mahakamani shauri la watu waliokumbwa na madhila ya kupotea, kushambuliwa na kuuawa sasa kujulikana Machi 22, 2023, Mahakama...
Dar es Salaam. Wakati Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ikitoa tahadhari ya mvua kubwa za Masika zinazoweza kusababisha mafuriko kwa baadhi ya...