Dar es Salaam. “We found him. He’s back and alive’ (Tumempata, amerudi akiwa hai). Hayo ni maneno ya mmoja wa ndugu wa Maliki Rukonge, aliyedaiwa kutekwa...
Dar es Salaam. Wiki mbili baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu kurejea nchini Ubelgiji, ameliambia Mwananchi atarejea nchini baada ya kupata visa yake...
Mwanza. Jeshi la polisi Mkoani Mwanza linawashikilia watu 18 kwa tuhuma mbalimbali wakiwemo walimu wanane wa shule za msingi wanaodaiwa kuiba zaidi ya Sh273 milioni kutoka...
Mwanza. Zaidi ya vijana 600 nchini wanatarajia kunufaika kupitia kampeni ya elimu kwa umma ya kurejesha taka ngumu na za plastiki kuwa bidhaa kwa lengo la kuhifadhi...
Dodoma. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limeanza mchakato wa kuwezesha vyeti linavyotoa kwa vijana wanaomaliza mafunzo katika makambi mbalimbali vitambulike rasmi kwenye mfumo wa elimu ya mafunzo...
Please introduce yourself. My name is Sal. Originally from New York City, I came to Tanzania in 1990 as a volunteer at a safari camp as...
Moshi. Ni matukio nadra kutokea katika jamii, baada ya mtuhumiwa anayesakwa kwa udi na uvumba na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, kumwandikia mama mkwe...
President Samia Suluhu Hassan says she dislikes making reshuffles frequently but she is been forced to do so due to unavoidable circumstances. The Head of State...
Dodoma. Tume ya Utumishi wa Walimu Nchini (TSC), imekabidhiwa majina 78 ya walimu waliobainika kughushi nyaraka mbalimbali za wategemezi na matumizi mabaya ya kadi za bima...
The World Bank has approved a concessional loan and grants totaling $579.93 million for financing the Tanzania Sustainable Rural Water Supply and Sanitation Programme and the...