Dar es Salaam. Kardinali mteule Protase Rugambwa alipozungumzia historia yake baada ya uteuzi alisema wataalamu wa afya walieleza alizaliwa akiwa na ngozi ya ajabu. “Wataalamu wa...
Ni jambo la faraja kwa wanandoa wanapopata watoto, lakini uhusiano huingia dosari kati ya wawili hao wanapochelewa kupata au kukosa kabisa mtoto. Kitaalamu inaelezwa mwanamke anapofikisha...
Juzi Tundu Lissu katamka kwenye moja ya mahojiano mtandaoni kwamba Mheshimiwa Rais Samia kaingilia Bunge na hastahili staha katika kumkosoa. Kauli ya Tundu Lissu imenikumbusha stori...
Watu wengi wameendelea kuzungumzia suala la maadili, hasa kwa vijana. Kwa mfano hili wimbi la panyarodi linaloendelea kutajwa kwa vitendo viovu, hii ni miongoni mwa sababu...
Dar es Salaam. Wakati jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi katika kuwainua wanawake kiuchumi nchini, ripoti mpya ya Wizara ya Fedha inaonyesha jinsia hiyo...
Kiswahili is spoken across Eastern and Central Africa. Mother-tongue speakers are found mainly along the coast, but Kiswahili is spoken as a second or third language...
Dar es Salaam. Kampuni ya Meta inayomiliki mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram Jana Alhamis Julai 6, 2023 ilizindua mtandao wake mpya wa kijamii wa...
Limekuwa jambo la kawaida kusikia habari mbaya za kikatili kama mauaji, vipigo, ubakaji na ulawiti kutoka ndani ya familia. Kama sio mke, mume au watoto wameuana...
Dar es Salaam. Historia inaonyesha mke wa sasa wa Mfalme Charles III wa Uingereza ambaye pia ni Malkia wa nchi hiyo, Camilla Rosemary Shand alikuwa kwenye...
Dar es Salaam. Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) umebaini kuwa wanawake wengi walioolewa hawatamani kupata mtoto mwingine...