Connect with us

Kitaifa

Kilimanjaro, Mtwara na Lindi zaongoza idadi kubwa ya wazee

Dar es Salaam. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonyesha mikoa ya Kilimanjaro, Mtwara na Lindi inaongoza kwa idadi kubwa ya wazee wenye umri zaidi ya miaka 65.

Ripoti hiyo ilizinduliwa Zanzibar na Waziri Mkuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Kitaifa, Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambaye ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati hiyo, Hemed Suleiman Abdulah Aprili 15, 2023.

Ripoti hiyo, inaonesha Mkoa wa Kilimanjaro unaongoza kuwa na idadi kubwa ya wazee wenye umri wa zaidi ya miaka 65 kwa asilimia 7.3 ambayo ni sawa na wazee 135,921 ikifuatiwa na Mtwara yenye asilimia 6.4 sawa na wazee 104,636.

Continue Reading
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Telephone: +255 653 313 586 | Email: mhariri@chechetimes.com. | Address: 14216 Keko Magurumbasi