Aprili 8, 2013 alifariki dunia Waziri Mkuu wa zamani wa United Kingdom (UK), Margaret Thatcher. Vyombo vingi vya habari vilimpamba. Vingine vilimponda tu kuwa alikuwa mtu...
Mnamo Februari 1, 2023, ujumbe wa watu watano kutoka chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM), ulitembelea India ambako ulikutana na viongozi wa chama tawala...
Machi 19 mwaka 2021 Rais Samia aliingia madarakani kuwa Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha Rais John Magufuli. Habari...