Kwa mujibu wa mtandao wa kimataifa wa Startupblink, kampuni changa bunifu (startup) huchangia asilimia 20 ya kazi zote zilizopo sasa, huku zikiongeza uzalishaji na tija katika...
Dar/Mikoani. “Siwezi kuoa kama sina vitu vya thamani ndani, hata wanawake wa sasa ni ngumu kukubali kuolewa na mwanamume asiye na kitu,” hii ni kauli ya...
Dar es Salaam. Kukamulia maziwa ya mama kwenye jicho, kuliosha kwa maji yenye chumvi au kwa chai ya rangi, si miongoni mwa tiba za maambukizo ya...
Dar es Salaam. Bila shaka unaweza kuwa miongoni mwa Watanzania vijana wenye changamoto za uwezo wa kujiendeleza kielimu kutokana hali ya kipato. Habari njema kutoka mataifa...
Inaaminika ulaji wa vitu hivyo ambavyo huchanganywa na kufungashwa pamoja unachangia kuongeza nguvu za kiume. Hata hivyo, wataalamu wa lishe wanasema vyakula hivyo huongeza protini na...
Dar es Salaam. Mwili wa binadamu hauwezi kutengeneza vitamini A pekee, badala yake hutengeneza vitamini hiyo kupitia vyakula anavyokula. Vyakula vinavyotengeneza vitamini A ni mboga za...
Dar es Salaam. Mhariri wa takwimu wa Mwananchi Communications Ltd, Halili Letea ametoa angalizo katika maeneo manne yanayoweza kuathiri mwenendo wa ukuaji wa uchumi, ambayo ni...
Kwa mujibu wa tovuti ya insideout master, umri 0-12 ni kundi tegemezi, (13-20) ni maandalizi ya kujitegemea, (21-35) kujitegemea na kuwekeza katika ndoto, (35-56) ni kupindi...
Dar es Salaam. Umewahi kusikia au kujaribu kunywa dawa kukatisha hedhi? Kama jibu lako ni ndiyo, basi athari zake ni kubwa, ikielezwa kufanya hivyo ni kujipalia...
Dar es Salaam. A clarion call rang out today as historians gathered for the annual meeting of the Historical Association of Tanzania (HAT). The message: reclaim...