Dar es Salaam. Katika jamii nyingi, ndevu zimekuwa ishara ya uanamume, mvuto na hata heshima. Wanawake wengi huvutiwa na wanaume wenye ndevu nadhifu na nzuri. Hata...
Watafiti wamebaini wanaume huchoma zaidi mafuta mwilini wakati wa tendo la ndoa kuliko wanawake. Ni kweli wakati wa tendo hilo, wote hupata raha, lakini ni raha...
Abiria 257 wa Shirika la Ndege la United Airlines walikumbwa na mshangao baada ya ndege yao kurejea ghafla Marekani, ikiwa safarini kuelekea Shanghai, China kisa mmoja...
Dar es Salaam. Kama una ‘bosi’ au kiongozi katika eneo la kazi ambaye kuzungumza kwake ni kufoka, basi huenda unajua jinsi hali hiyo inavyoweza kukera na...
Baadhi ya watu wanafunga bila kuelewa hukumu zake, jambo linalowafanya waingie katika makosa kwa sababu ya kutokujua na hivyo kupunguza thawabu za Saumu zao au kuathiri...
Simiyu. Serikali imeshauriwa kuwaondoa katika nafasi zao walimu wakuu wa shule za msingi na wakuu wa shule za sekondari, watakaoshindwa kusimamia utaratibu,kanuni na miongozo ya utoaji...
Dar es Salaam. The recent academic dishonesty scandal that led to the expulsion of 121 students from the University of Dodoma (UDOM) has sparked debate among...
Dar es Salaam. Je, umewahi kufikiria ni sababu zipi zinawasababishia baadhi ya wanawake kupendelea kuwanunulia wapenzi wao singlendi, soksi au nguo za ndani ‘boxer’ wanapotaka kuwapa...
Dar es Salaam. Wakati sheria ya Tanzania ikitaja utoaji mimba ni kosa kisheria, imegundulika baadhi ya wanawake na wasichana nchini wamekuwa wakifika katika vituo vya afya...
Licha ya ukuaji wa haraka wa teknolojia ya simu za mkononi barani Afrika, mamilioni ya wanawake bado hawajaunganishwa kidijitali, jambo linalopunguza fursa zao za kiuchumi na...