Kitaifa
Haya hapa matokeo ya kidato cha sita 2025

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika Mei 5 hadi 26, 2025.
Matokeo hayo yametangazwa leo Jumatatu, Julai 7, 2025 visiwani Zanzibar na Katibu Mtendaji wa Necta, Profesa Said Mohamed
Bonyeza hapa kutazama matokeo ya kidato cha sita 2025.

Continue Reading