Kitaifa
Haya hapa majina, shule walizochaguliwa kujiunga wanafunzi wa kidato cha kwanza 2025
Dar es Salaam. Serikali imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule mbalimbali za Serikali nchini mwaka wa masomo 2025.
Majina hayo yanajumuisha ya wanafunzi waliochaguliwa kwenda kusoma shule za sekondari za bweni, vipaji maalum na kutwa za Serikali.