Connect with us

Kitaifa

Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2023

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 13 hadi 30, 2023.

Matokeo hayo yametangazwa leo, Alhamisi Januari 25, 2024 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said Mohammed.

Continue Reading

Telephone: +255 653 313 586 | Email: mhariri@chechetimes.com. | Address: 14216 Keko Magurumbasi