Makala
Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume kwa haraka zaidi
Nguvu za kiume ni nguvu ama ni uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa. Upungufu wa nguvu za kiume hutofautiana baina ya mtu mmoja na mwingine, yaweza kuwa ni tatizo la kusimamisha uume au halai ya kuwai kufika kileleni kabla ya wakati hivyo kutomridhisha mwenza wako.
Pamoja na hayo wanaume wanaume tunatakiwa kutambua tendo hili hulinda na kuleta heshima ya ndoa, Leo hii nakusegezea elimu hii ya vitu vitakavyo linda ndoa/mahusiano yako
1. KITUNGUU SWAUMU
Tumia punje 8-10 za kitunguu swaumu vilizomwenywa na kukatwakatwa vipande vidogo vidogo kisha meza na maji safi na salama glasi mbili kutwa mara mbili (asubuhi na jioni) kwa muda wa mwezi mmoja. Pia hakikisha chakula unacho pika basi kitunguu swamu lazima kiwemo kama moja ya viungo vizuri ukakiweka mwishoni kisiive sana na moto.
2. TIKITI MAJI
Kula tikiti maji kila siku huku ukitafuna na mbegu zake, fanya hivyo siku zote.
3. UGALI WA DONA
Kula ugali wadona ni muhimu ukiachana na mazoea ya ugali wa sembe ugali wa dona una virutubisho vingi na mhimu wa afya ya mwanaume, kama ugali wa dona una kukera fanya hivi chukua mahindi kilo 10 na ngani kilo 3 usage kwa pamoja ugali wake huwa ni mlaini, mzuri na mtamu unaweza kula na mboga yoyote fanya hivyo katika familia yako na maisha yako yote.
4. CHUMVI YA MAWE
Chumvi ya mawe ya bahari ile amabayo haija safishwa na haija pita kiwandani inamchango mkubwa sana katika kutibu tatizo hili, tumia chumvi hii kwenye vyakula vyako kila siku.
5. MAJI YA KUNYWA
Kunywa maji ya kutosha kila siku bila kusubiri kiu, kila mtu anahitaji glasi 8-10 kwa siku za maji, maji ni muhimu katika kuongeza damu, kuimatisha mwili na kutoa taka mwili.
6. MBEGU ZA MABOGA
8. CHAI YA TANGAWIZI
Ulaji wa tangawizi nusu saa kabla ya tendo la ndoa husaidia kuongeza hamu na nguvu ya tendo la ndoa, unaweza kunywa chai ya tangaziwi nusu saa tu kabla hujaaza kufanya tendo au unaweza tafuna tangawizi mbichi kwa ukibwa wakidole gumba la mtu mzima nusu saa kabla ya tendo.